BUJUMBURA le 11.9.2009:Hatimae wabunge nchuini Burundi wamepasisha muswada wa sheria uhusuo uchaguzi wa 2010 nchini Burundi. Tangu saa tatu asubuhi alhamis Septemba 2009, wabunge walitakiwa kujadili na kupasisha muswada wa sheria uhusuo sheria za uchaguzi nchini Burundi. Kutokana na utata uliokuwemo katika sheria hizo, ilikuwa vigumu kupatikana muafaka, hadi saa tisa usiku wa kuamlia ijumaa septemba 11, wabunge walifikia muafaka na kusaini sheria zihusuzo uchaguzi wa 2010. miongoni mwa walioafikiana ni pamoja na mpangilio wa uchaguzi utaoanzia kwa viongozi wa madiwani na baadae kufuatia uchaguzi wa rais, utaofuatiwa na na wa bunge na seneti na kuhitimishwa kwa ule wa viongozi wa ngazi za china. Ama kuhusu kadi ya uchaguzi, wanasiasa hao wameafiki kutumia kadi tofauti na vijisanduku 2. kimoja kitapokea kadi iliopiga kura na nyingine itayo tupwa katika kijisanduku maalum kitachokuwa kimeandaliwa. Ili kuepusha wizi na udanganyifu, kadi zote zitahesabiwa, zile zilizo chaguliwa na zile zilizo tupwa sehemu kutakokutikana na udanganyifu sehemu hiyi uchaguzi utafutwa na baadae kuandaliwe mwingine katika kipindi kisichozidi siku 5. kuhusiana na dhamana anayo takiwa kutowa mgombea kiti cha urais imesalia kuwa franka za Burundi millioni 15, pesa hizo zitarejeshwa iwapo mgombea hatofikisha asilimia 5 ya kura zitazopigwa nchi nzima. Mgombea kiti cha ubunge atalipa dhamana inyo lingana na franka za Burundi laki 5 huku , mgombea kiti cha uanaseneta akilipa franka za Burundi laki 4. Pesa hizo zitarejeshwa iwapo wagombea hao hawatofikisha asilimia 2 ya kura zitazopigwa kote nchini. Wabunge walikubaliana pia kuhusu kufutwa ubunge kwa mbunge ataekuwa amekitoroka chama chake na kujiunga na chama kingine swala ambalo lililo zusha utata, hatimae wabunge wamekubalina na swala hilo.samedi 12 septembre 2009
BAADA YA MVUTANO WA SIKU NZIMA, HATIMAE WABUNGE WAMEPASISHA SHERIA ZA UCHAGUZI SAA TISA USIKU
BUJUMBURA le 11.9.2009:Hatimae wabunge nchuini Burundi wamepasisha muswada wa sheria uhusuo uchaguzi wa 2010 nchini Burundi. Tangu saa tatu asubuhi alhamis Septemba 2009, wabunge walitakiwa kujadili na kupasisha muswada wa sheria uhusuo sheria za uchaguzi nchini Burundi. Kutokana na utata uliokuwemo katika sheria hizo, ilikuwa vigumu kupatikana muafaka, hadi saa tisa usiku wa kuamlia ijumaa septemba 11, wabunge walifikia muafaka na kusaini sheria zihusuzo uchaguzi wa 2010. miongoni mwa walioafikiana ni pamoja na mpangilio wa uchaguzi utaoanzia kwa viongozi wa madiwani na baadae kufuatia uchaguzi wa rais, utaofuatiwa na na wa bunge na seneti na kuhitimishwa kwa ule wa viongozi wa ngazi za china. Ama kuhusu kadi ya uchaguzi, wanasiasa hao wameafiki kutumia kadi tofauti na vijisanduku 2. kimoja kitapokea kadi iliopiga kura na nyingine itayo tupwa katika kijisanduku maalum kitachokuwa kimeandaliwa. Ili kuepusha wizi na udanganyifu, kadi zote zitahesabiwa, zile zilizo chaguliwa na zile zilizo tupwa sehemu kutakokutikana na udanganyifu sehemu hiyi uchaguzi utafutwa na baadae kuandaliwe mwingine katika kipindi kisichozidi siku 5. kuhusiana na dhamana anayo takiwa kutowa mgombea kiti cha urais imesalia kuwa franka za Burundi millioni 15, pesa hizo zitarejeshwa iwapo mgombea hatofikisha asilimia 5 ya kura zitazopigwa nchi nzima. Mgombea kiti cha ubunge atalipa dhamana inyo lingana na franka za Burundi laki 5 huku , mgombea kiti cha uanaseneta akilipa franka za Burundi laki 4. Pesa hizo zitarejeshwa iwapo wagombea hao hawatofikisha asilimia 2 ya kura zitazopigwa kote nchini. Wabunge walikubaliana pia kuhusu kufutwa ubunge kwa mbunge ataekuwa amekitoroka chama chake na kujiunga na chama kingine swala ambalo lililo zusha utata, hatimae wabunge wamekubalina na swala hilo.
Inscription à :
Publier les commentaires (Atom)
1 commentaire:
Good blog.
Enregistrer un commentaire