Hii ni moja miongoni mwa sehemu ambayo utakuta habari kutoka nchini Burundi katika lugha ya kiswahili,na hata habari kutoka ukanda mzima wa maziwa makuu. waweza pia kuchangia huku ukiwa mtaarabu kati ya yale ambayo labda waona kwamba waweza kutowa muelekeo zaidi.
1 commentaire:
Tunafurahi sana kupata sehemu ambayo twaweza kupata habari katika lugha ambayo twaizoea. Bila shaka tukopamoja na nyie na tutawaunga mkono katika kila lolote mtalo hitaji.
Luc from AUstria
Enregistrer un commentaire